Ninatumia camera ya simu "BB 9380" kwa kuweka kumbu kumbu zangu,tatizo picha nyingi hazifunguki.Ninatumia memory card ya GB 2 na nimei scan mara kadha lakini tatizo lipo palepale.
Ninawezaje ku recover picha ambazo hazifunguki,maana hata nikihamishia kwenye card reader niifungue kwenye pc pia hazikubali.