Msaada: Barua ya ombi la kuhamia taasisi nyingine ni sharti iambatane na C.V pamoja na nakala za vyeti halisi?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Wakuu habarini!
Mimi ni mtumishi wa taasisi X ninataka kuhamia taasisi Y iliyo chini ya wizara moja na ninayofanyia kazi.
Sasa nauliza barua yangu naweza kuituma bila kuambatanisha nakala za vyeti vyangu halisi kwakuwa tayari Mimi ni mtumishi?
Kwa waliowahi kufanikiwa mchakato unaofanana na huu je, vyeti watavihitaji pindi watakapopokea barua yangu au watavihitaji endapo tu watanihitaji?
Note: Sibadilishi kada wala cheo.
Asanteni.
Kuuliza si ujinga
 
Kama Ni Maombi wasiliana Na unaowaomba utapata jibu sahihi zaid

Anaekujitaji ndio anajua uhalisia wa mahitaji yake
 
Wakuu habarini!
Mimi ni mtumishi wa taasisi X ninataka kuhamia taasisi Y iliyo chini ya wizara moja na ninayofanyia kazi.
Sasa nauliza barua yangu naweza kuituma bila kuambatanisha nakala za vyeti vyangu halisi kwakuwa tayari Mimi ni mtumishi?
Kwa waliowahi kufanikiwa mchakato unaofanana na huu je, vyeti watavihitaji pindi watakapopokea barua yangu au watavihitaji endapo tu watanihitaji?
Note: Sibadilishi kada wala cheo.
Asanteni.
Kuuliza si ujinga
Yah inawezekana kwenye taasisi x, ila pia inaweza kuwa imposible kwenye taasisi y.Maana kila taasisi na utaratibu wake....

Hivyo basi, ili kujiweka safe zaidi. Nakushauri USITUME barua kavu kavu.....just ambatanisha na hiyo CV pamoja na nakala za vyeti vyako. Wavihitaji au wasivihitaji...vyovyote vile, kwako itakuwa poa tu.

"All the best mkuu..." Tchao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri

fanyia Kazi bandiko #4 lkn pia itapendeza km utaenda kumuona physically Mkuu wa Taasisi unayotaka Kuhamia then uje documentation!
 
Back
Top Bottom