chollodehutch
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 159
- 192
Huwa nasikia ukikosea step moja tu kwenye kuroot device linakuwa balaa jingine[/QUOT
Ni kwlii lakn m kwny root nshatoka hkoo sasa npoo kwny ku flash zip for img na mengne lakn pia m siogopii any brick natka mpk nkamilshe cz nkipata any brick ntatafuta pesa ntanunua new device
Kwang ninachofny n kam funzo lazma n hack any way mpk nkamilshe objective ambzoo nmeweka kwhyoo kna 2 thng ife sim au nfankisheKama haiwezi kuinstall custom recovery achana nayo...
Kila la heri mastaKwang ninachofny n kam funzo lazma n hack any way mpk nkamilshe objective ambzoo nmeweka kwhyoo kna 2 thng ife sim au nfankishe
Kuangaika na itel kweny issue za custom ni kupoteza mdaHabar zenu wadau katka sekta ya technology...Baada ya kutamani kwa muda mref sna na mim device yangu kuwa rooted hatimae nlifankisha baada ya itel 1556 plus kuwa rooted .....
Kama tujuavyo faida ya kuwa na device ambyo ipoo rooted na kw matumiz binafsi.
Baada ya ku root itel 1556 klichofuat n ku flashfy custom recovery kw ajli ya ku change sytem device ikiwezekan n kubadl android version na mengne meng tatzo linakuja kila njia ninayopitia ili kukamlsha yte hayoo inashndkan..! Njia ya kuflashfy ambpoo nmejarb kutmia flashfy app kutok plystr yan CWM...na ile ya TWARP pia zte znakataaa nmeshndwa ku flash zip kw ajli ya ku change img boot na mengne......issue zima n kuinstall custom recovery kwny device its jist a matter vp nitaweza kufany na n kwa njia zip?
Nmefatilia tutorial kwny youtube ,Google,xda pia ikiwemo jamiiforum na nmegundua kuwa sim nyngii za itel huwa hazina recovery sasa kama hazna recovery kwhyoo huwezii kufanya chchte kwny itel devices or?
Karibuni wadau tuweze kumalza hu mzizi.
Hapoo kwlii itabid nfany ivyoooKuangaika na itel kweny issue za custom ni kupoteza mda
Kama kwel unapenda hizo mambo kanunue brand kubwa utapata support za kutosha...
Angalia Samsung s2 ya 2011 hadi leo inapata nougat kwa kina cynogen,lineage os na rom kibao plus recovery za cwm na twrp na tweak kibao tu kweny xposed module
Hapo kama kwel uko serious utengeneze recovery yako wewe mwenyew tu..otherwise achana na itel sijui tecno na wengine type hiyo..