B BUDULU Member Joined Dec 8, 2017 Posts 42 Reaction score 17 Jul 10, 2018 #1 naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya kupata ATN na WRM chanel za TV kwa kutumia Kingamuzi cha Star times
naombeni msaada kwa anayefahamu namna ya kupata ATN na WRM chanel za TV kwa kutumia Kingamuzi cha Star times
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 Jul 10, 2018 #2 kwa Azam Huwa hivi! Ukibonyeza Ok itakuletea list ya channel Halafu kama ile list haijafutika bonyeza right click kama unaongeza sauti ......itakuletea other channel Ndio Huwa nazikuta huko! Hebu jaribu huenda ikawezekana na kwa star times
kwa Azam Huwa hivi! Ukibonyeza Ok itakuletea list ya channel Halafu kama ile list haijafutika bonyeza right click kama unaongeza sauti ......itakuletea other channel Ndio Huwa nazikuta huko! Hebu jaribu huenda ikawezekana na kwa star times
B BUDULU Member Joined Dec 8, 2017 Posts 42 Reaction score 17 Jul 10, 2018 Thread starter #3 "Ngushi, "]kwa Azam Asante nimejaribu lakini haijaleta hivyo.
Sammo Hung JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 1,165 Reaction score 1,360 Jul 10, 2018 #4 Kwa star times hakuna namna ya kupata channel ambayo haipo kwenye list yao, mpaka watakapoiweka.
B BUDULU Member Joined Dec 8, 2017 Posts 42 Reaction score 17 Jul 11, 2018 Thread starter #5 Kwa star times hakuna namna ya kupata channel ambayo haipo kwenye list yao, mpaka watakapoiweka. ASANTE NASHUKURU
Kwa star times hakuna namna ya kupata channel ambayo haipo kwenye list yao, mpaka watakapoiweka. ASANTE NASHUKURU