Wewe unazo cut off 3.5 so chuo utapata na course za science nzuri 2
So ni wewe kuwa na connection na watu kukushauri course nzuri za science na zenye ajira bila kutteseka
pitia guide book, uchague kozi inayoendana na matokeo yako, sio kila ushauri wa kuchukua coz baada ya kumaliza kuna ishu ya ajira, so angalia coz itakayokufaa