hiyo pesa usilipe.. Unachotakiwa kufanya utaenda kwenye ofisi zao za BIMA na copy ya kitambulisho chako na kitambulisho chenyewe original then watakucomfirm na kukugogea muhuri baada ya hapo hiyo copy utaiambatanisha na registration, bank paid slip uliyolipia vitu vingine then utaisubmit kwa bursor..