Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
huitaji application , fungua settings na fuata kama ifatavyo
Settings - device - call - call rejection - auto reject numbers - auto reject list - create - weka number unayotaka ku block - save
Asante mkuu, hii ni kwa simu mtanashati (smartphones) lakinihuitaji application , fungua settings na fuata kama ifatavyo
Settings - device - call - call rejection - auto reject numbers - auto reject list - create - weka number unayotaka ku block - save
Ngoja niijaribu, app inablock call peke yake au na msg??True caller ndiyo mambo yote.
Kuna app inaitwa true caller. Idownload then nenda ukablock... Mimi nimeitumia kuwabloc hawa SBT Japan, walikuwa wanasumbua sana...
ni android ninatumia mkuu - labda kama kuna tofaiti ni ndogo lakini unaweza kublock kutokea settingsUmeassume simu zote zinafanana?
Kabisaa! Tena kama mtu anakupigia ambaye huna namba yake inakupa jina lake (kama line imesajiliwa) na inam-locate alipo (kama google map yako inafanya kazi). Yaani inakwambia aliyepiga ni nani na yuko wapi. Kum-block ni kama kawa.Ngoja niijaribu, app inablock call peke yake au na msg??
Hizo app zote sijawahi tumia mkuu.Kama simu yako haina uwezo wa kublock bila ya kutumia third part app, tumia AVG anti virus itakusaidia
Hao Mimi wananikomesha ktk E-mails, kila niki.unsubscribe, wapi! Inbox kibao.Kuna app inaitwa true caller. Idownload then nenda ukablock... Mimi nimeitumia kuwabloc hawa SBT Japan, walikuwa wanasumbua sana...