rmvicentrm
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 147
- 26
Tatizo lako km langu ngoja waje watupe UjuziHabari ya jion wapendwa.,
application ya whatsap haifanyi kazi shida ni nini.
lakini ukitumia data tofauti na simu yenyewe ina fanya kazi kawaida i. e wifi.
MSAADA WAKO, ASANTE
hii ni tecno w3, je wewe? sim gan hiyo.Tatizo lako km langu ngoja waje watupe Ujuzi
sawa kaka najalib hapa kuangalia lakini naona tatizo kama lipo palepaleCheck setting yako ya Mobile data
mkuu!!!!!Rekebisha mobile network configuration..ikishindikana Reset simu upya labda
Tecno W3 inayo support 4Ghii ni tecno w3, je wewe? sim gan hiyo.
Basi jaribu kupeleka kwa mtaalamu wa mobile software..utasaidiwamkuu!!!!!
nime restore factory setting.
lakini mambo yaleyale.
hakika hili toleo litakuwa na shida. japo ina 4gTecno W3 inayo support 4G
Mimi nikiwa eneo lilo unganishwa Wi-Fi inakubari ila nikitumia bando langu haisend sms wala kupokea chochote.
tigo/voda mkuuMnatumia laini gani
sawa, asante kwa ushauri ila kama una link yake naomba mkuu.Unatumia version gani ya whatsap,tumia gbwhatsap google utaipata
asante mkuuBasi jaribu kupeleka kwa mtaalamu wa mobile software..utasaidiwa
w3 tecno mkuuNisimu gani hyo?
asante, naomba picha, screen ya hi manager mkuu...Kama w3 angalia hi manager utakuwa umetolea data