msaada, APPLICATION YA KUZUIA WIZI

Kuna trusted SIM list. Mwanzo, app itaizuia hio sim na kuleta utata, lakini akiisha kuithibitisha, atatuma message kwenda kwa hiyo line iliyopo kwenye simu since app inalisten to the received messages.
 
Ni sawa mkuu ila wizi wa kukaba ni mdogo zaidi kuliko ile ya kuibiwa kimiakimia,ila pia sio mbaya kuweka hata kama hilo litatokea itakuwa ni changamoto nyingine



Usikate tamaa ulizia pia kuhusu anti robbery app, mtu akitaka kukukaba simu inapiga alarm na inatuma ujumbe polisi
 
Sasa akibadilisha CHIP akaweka nyingine hiyo SMS itafikaje!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
Avast antvirus inapiga mzigo huo wote na unaweza pia kublock mtu asiiformat hadi aingize namba za siri na hata hata service mode haiendi hadi uingize codes na uki mobe nayo kama mita 100 ina anza kupiga kelee na ina kusms kupitia e-mail au phone no ulo ieka.
 
Mimi nadhani unahangaika bure, mambo hayo yako kwa wazungu, nilipokuwa marekani niliona vitu hivyo, ushauri hapa kwetu bongo ni umakini tu kila unapopanda gari, chukua simu yako ishike kiganjani then panda gari, ukumbuke mara zote kama sala boss, utakuwa umesave uibiwa, mm nimefanya hivyo ni mwaka wa 9 huu sijaibiwa simu daladalani.
 

Njia rahisi sana ni kutembea na bomu mfukoni!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…