jamani naombwa kujuzwa kama kuna app yoyote ile ya android itakayoniwezesha kupanga namba zilizo changanywa ktk mtiririko maalum mfano namba zimechanganywa hivi 9,6,4,3,2,1, nikiwa na hiyo app naweza kupanga kuanzia kubwa kwenda ndogo au ndogo kwenda kubwa