Msaada Application hii ya kuedit picha

Msaada Application hii ya kuedit picha

MBUNICHA

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
15
Reaction score
1
Ni miezi sasa inapita naitafuta playstore bila mafanikio.Ni app ambayo picha zake common saana insta yaan inazifanya picha ziwe na mwonekano ka zimechorwa hv. bt kwa rang nzuuri.
Njeribu ma app mengmeng bt holla mwenye kijua jina nitajie hapa.
 
dah program za kuedit picha ninyingi sana hebu jaribu photo editor au mirror
 
Mkuu tumia Picsart ina common editing tools pamoja na advanced ones plus effects...then baada ya wiki njoo unipe feedback
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom