Wakuu naomba kujuzwa kuhusu app ya kutengeneza video ambayo ipo simple, nina youtube channel sasa nataka niwe naunganisha audio na picha ili kupata video.
Ukiidownload kwny playstore itakua na watermark jaribu kuingia youtube halafu search kinemaster full version hyo haitakuwa na watermark ndiyo ambayo mm naitumia