Hawa jamaa nilishawahama long sana ktk swala zima la internet ila sasa juzi nilitumiwa kifurushi cha wiki GBs za kutosha sasa sitaki zije ku expire bure.Daaah...ngoja nami nipate maujanja hapa, vodacom customercare ni kwikwi...nina modem yao hapa, wanadai ni PLUG n PLAY, huwezi cheki salio, kujaza salio ni mpaka ununue kupitia line nyingine, ukiwapigia wanaongea ujinga tu!
ni aina ganiRejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu.
Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings lakn wiki sasa imekatika naona kimya.
Kifaa changu kina support 4g.,ila hata nikipata 3G haina shida kwa maana hapa inasoma E tu hata msg WhatsApp haziingii.
Mkuu, aina ya simy unayotumia? Je ni Double line?Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu.
Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings lakn wiki sasa imekatika naona kimya.
Kifaa changu kina support 4g.,ila hata nikipata 3G haina shida kwa maana hapa inasoma E tu hata msg WhatsApp haziingii.
Unaweka line unayotaka kuitia kwenye internet slot ganiNi double line mkuu,lenovo K Note

.Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu.