Msaada: Antivirus ya simu

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
Habari wana JF! Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku-scan smart phone. Simu yangu naona inani-alert kuwa kuna virus kwenye simu.
 
Habari wana jf? Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku scan smart phone.simu yangu naona inani alart kuwa kuna virus kwenye simu.

mimi ninayotumia inaitwa Clean master, nenda kwenye play store ya simu yako then search clean master jaribu huenda ikakusaidia kama mimi.
 
Hizo ni ads( matangazo tu ya App ili udawnload App zao)
mkuu zisikutishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…