Symbian os hazitengenezwi tena hivyo simu zenye hiyo system zitakuwa ni zile zilizotoka kabla ya 2010.
Android ndiyo the next os kwa cm za kisasa baada ya kuipiku windows mobile ya microsoft.
Hata hivyo ios ya iphone inaonekana kuwa popular ila inatumika kwa simu za apple tu.
Microsoft watatoa windows 8 hivi karibuni na itatumika kwa PC, tablets na simu, pengine ndiyo itakuwa mshindani wa Android