BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Oh asante....inaitwa hivo hivo zaidia ama ni saidiaZaidia orphanage center, kipo Sinza, dar es Salaam......watoto wanahitaji msaada
Sos. Hicho ni cha kishua mkuuMkuu hata hapa kama unaenda stendi ya mawasiliano kuna kituo wa hao watoto yatima!!kinaitwa kituo cha mama mkapa!!
SOS hawana shida nimepita hapo juzi,Sos. Hicho ni cha kishua mkuu
Asante hornetSOS hawana shida nimepita hapo juzi,
kuna kijiji cha Furaha Tegeta wanahitaji mahitaji ya shule na chakula.
Kile wanaishi zaidi ya home kwao, viko mitaani vingi ambavyo vinahali ngumu wacha wadau wamuelekeze tuMkuu hata hapa kama unaenda stendi ya mawasiliano kuna kituo wa hao watoto yatima!!kinaitwa kituo cha mama mkapa!!
Asante mkuu kwa muongozo huoMkuu hata mkiienda kwenye makanisa au misikiti mnaweza pewa mwongozo zaidi kwani huwa kuna vituo huwa wanavilelee maeneo tafautitofauti!