UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
Tigo yako utapigiwa soon jiandae kupokeaMsaada wanajamii kuna jamaa tumepanga naye Nyumba moja na yeye ana wake wawili kwa hiyo analala kwa zamu na Mimi hapa tulipopanga Mimi siishi na mke wangu
Sasa jamaa Jana tukiwa tunakunywa akaniambia "MIMI NI MWANAUME MWENZAKO NA LEO NAKUAMBIA NIMESIKIA UNATEMBEA NA MKE WANGU NA NIMEFANYA UCHUNGUZI ILA SIJAKUONA NA KILA NIKIISUKIA SAUTI YAKO NAPATA HASIRA SANA ILA NIMEVUMILIA SANA NA ALIYESEMA KAMUULIZE MKE WANGU ILA MWISHO AKANIAMBIA ALIYESAMBAZA HAYO MANENO "
Na huyu jamaa tunakunywa nae pombe mda mrefu tu anasema kama ni kweli shakuambia ujue sasa wadau hii kitu imekaaje
[emoji16][emoji16][emoji16]Tigo yako utapigiwa soon jiandae kupokea
Kabisa sijamlatukuulize wewe imekaaje kwasababu wewe ndiyo unajua kama umetembea naye au laa.
Kabisa sijamla