Au njia y kuamnika sign in kweny googlephoto the backup apo utazkuta mpk picha zako za kwanza uliponunua simu[emoji23][emoji23] sema uwe na bando la kutosha maan utafukunyuliwa albamu ambazo hukiztarajia

Hiyo mpaka kama uliipa access ifanye auto sync yenyewe na camera lasivyo hukuti kitu mkuu
Ila nenda google au playstore tafuta app inaitwa diskdigger pro then hapo utazikuta zote na kam ume root ndo itakuwa vizuri zaidi