Msaada: Aliyedahiliwa na TCU anaweza tena kudahiliwa na NACTE?

babadullah

JF-Expert Member
Feb 21, 2017
508
319
Hivi inawezekana kwa mtu aliyedahiliwa na TCU lakini masomo yakamshinda chuo kikuu, anaweza kudahiliwa na NACTE kama akitaka soma diploma
 
Jct simple Mkuu unaenda kwa uongozi WA chuo wanakuandikia barua ya direct kwa TCU then wanacancell jina lako katik icho chuo. ..then unasubili muda ukifika una apply upya kwa chuo na course unayotaka free.....!
Note: wew ni form 6 huwez soma diploma in whole lyf ata ufanyeje....?
Over hope u got it...
 
Thanks
 
Over hope u got it... [/QUO
wakati mwingine huwa naogopa kuomba ushauri hapa jf coz watu wasio jua wanashauri as if wanajua!! nani kakwambia form 6 hawezi soma diploma?? bora ukae kimya!!
 
Jct simple Mkuu unaenda kwa uongozi WA chuo wanakuandikia barua ya direct kwa TCU then wanacancell jina lako katik icho chuo. ..then unasubili muda ukifika una apply upya kwa chuo na course unayotaka free.....!
Note: wew ni form 6 huwez soma diploma in whole lyf ata ufanyeje....?
Over hope u got it...
Duuh watu wasiojua sk hizi wanadanganya afu kwa ujasiri bila aibu! nani kakwambia form 6 hawezi soma diploma?? bora ukae kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom