Msaada: Akaunti yangu ya Instagram imedukuliwa

Msaada: Akaunti yangu ya Instagram imedukuliwa

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
644
Jamani eehhhh anaeweza ku huck account ya instagram anipe somo account yangu imeibiwa
 
Yaani account imekuwa hacked halafu unataka upewe somo la kuhack lengo ni kulipiza kisasi ama hujui maana ya neno kuhack?
 
Jamani eehhhh anaeweza ku huck account ya instagram anipe somo account yangu imeibiwa
kabla sijakupatia somo em niambie imeibiwa kivipi???imeibiwa unamaanisha ime dukuliwa au??em funguka kwanza vyema.....
 
Nipm jina unalotumia insta nirudishe account yako fasta.
 
Back
Top Bottom