Airtel punguzeni kuwaibia wateja wenu, nimekuwa kila nikiongeza salio la sh 1,000 nikitaka kujiunga na kifurushi cha mb 400 naambiwa salio halitoshi nikcheki salio nakuta sh 943/- nimepiga customer care wananiambia eti wakati wakujiunga data ilikuwa on..shubaaa miti hiyo data ipo on wewe ndio uliewasha na hii sio mara moja, Airtel acheni wizi bana