Nenda mpaka kituo cha daladala Muhimbili stand. Waweza kuchukua bodaboda toka Muhimbili hadi hapo Olimpio kwa sh. 2000/=Ok boss labda nimekosea katika uandishi, nikitaka nifike hapo natokea kimara nafikaje?
Urgent mzuri ndiyo yukoje?
Nawafahamu resellers wa apple, Elite computers - wapo Upanga pembeni mwa Olimpio primary school.