msaada afanyeje ili kuongeza sperm count anazo milioni 15!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada afanyeje ili kuongeza sperm count anazo milioni 15!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by white wizard, May 9, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kuna jirani yangu ameniomba ushauri kuwa yapata mwaka mmoja sasa ameoa ila hawajajariwa kupata mtoto,ndio juzi akaenda hospital akafanyiwa sperm analyiss,ikaonekana total sperm count yake ni milioni 15!na akaambiwa kuwa ili kuwa na uwezo wa kupatisha mimba ni lazima zisipungue milioni 20.mtu wa maabara ndiye alimpa majibu hayo,kwani dr,aliyemwambia akafanye vipimo hivyo amesafiri,Ndiyo nikamwambia ngoja nikawaulize wataalaam wa JF,tunaweza kupata wapi pa kuanzia.Labda kuna vyakula anatakiwa awe anakula sana au atumie dawa gani.
   
 2. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nafikiri si jibu kamili. lazima aanglie viscosity, maumbile ya sperms(morphology), movements (kinetic),quantity, bacteri na mengineyo mengi. asimuamini huyo mtu wa maabara. kazi yake ni kutoa report kwa dactari ambaye ndie anaweza kuianalyze ile report. na kama kuna vitu mtu wa maabara hakufanya inabidi dr amwambie kurudia.
   
 3. R

  RIVI SHIRIMA Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aende ilala bungoni kwa mhaka
   
Loading...