Msaada Adobe photoshop CS 5 Extended (how to patch)

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Wakuu heshima zenu, nimepatwa na tatizo la kiufundi wakati wa kufanya installation ya Adobe photoshop CS5, kwa ufupi installation imemaliza tatizo ni kuifanya isiwe trial ndio imenishinda, kila nikiapply patch inagoma kwa ufafanuzi nimeattach screenshot. Computer yangu ni 64bit. Ram 4gb, speed ya processor ni above 2ghz, hdd ni 500gb
1.Nachagua program naclick kwenye 64bit

2. Na apply patch

3. Haya ndiyo majibu ninayopata.

4. hii ndio adobe yenyewe.
 
Attachments

  • PATCH 6.png
    65.4 KB · Views: 146
Adobe unayoitumia wewe hiyo hainaga mbwembe wala nini !

Kama ul install kihuni na ile Crack ya jamaa inayo bypass Disc insertion ! Au la

ikikuuliza keys chagua yeyote hapa chini endelea kula maisha !

Iki kuzingua tena una baada ya muda unachagua nyingine unaendelea kula maisha !

Achana na mahangaiko ya ku patch hayo !

1325-1263-0034-6192-0472-9778
1325-1157-8207-7707-9798-6532
1325-1319-1010-6434-1955-4619
1325-1870-2938-9873-5356-2624
1325-1174-1834-0596-8505-0323
1325-1271-7898-3364-1803-3655
1325-1823-6020-0958-5549-2729
1325-1177-2533-5307-9327-8593
1325-1960-8746-4023-7312-2320
1325-1095-0854-7085-2679-7165
1188-1702-9219-4234-2059-4581
1330-1281-8916-6015-7348-5124
1325-1558-5864-4422-1094-1126
 
Mkuu nashukuru ila sijafanikiwa bado zote zimekataa nilikuwa najaribu moja moja.
 
  • Hatua ya kwanza: Download hiyo attached file
  • Hatua ya Pili: Extract hiyo file kwa kutumia winrar au 7zip
  • Hatua ya Tatu: Chagua version ya adode utumiayo.
  • Hatua ya Nne: Bofya PATCH
  • fEEDBACK please.
 
Asante mkuu nafuatatilia, nitarejea kwa taarifa zaidi
 
  • Hatua ya kwanza: Download hiyo attached file
  • Hatua ya Pili: Extract hiyo file kwa kutumia winrar au 7zip
  • Hatua ya Tatu: Chagua version ya adode utumiayo.
  • Hatua ya Nne: Bofya PATCH
  • fEEDBACK please.

Heshima yako mkuu, game is over, nashukuru nimefanikiwa kwa 100%
 
Daaaah jf users na mimi naomba mnisaidie nina adobe photoshop cs6 v.13 kama kuna mtu anazo keys zake naomba anisaidie am currently broke ila ma wish ningenunua adobe office nzima
 
Daaaah jf users na mimi naomba mnisaidie nina adobe photoshop cs6 v.13 kama kuna mtu anazo keys zake naomba anisaidie am currently broke ila ma wish ningenunua adobe office nzima
Mfuatilie Mwl CRT amemaliza kila kitu hiyo universal adobe patch ina version mpaka ya CS 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…