Elimu ya jui yaani post graduate ni starehe kwa hiyo kama unajua huna uwezo acha kusoma, ni sawa unajua huna uwezo wa kwenda kwenye starehe acha kwenda usiende kusumbua raia.
Elimu ya chini yaani graduate ndio elimu ya msingi, hiyo ukiomba msaada mtu anakuelewa, sasa kama uko graduate mambo mengine jiongeze mwenyewe.