MSAAD WA KUSET SHUFFLE VIDEO PLAYING

kingi mweuc

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
266
Reaction score
73
Tv yangu haina sehem ya kuset Random video playing From flash drive. Ni vipi naweza kuipata hiyo huduma.Mp3 iko poa ila Mp4 zinaplay in order(from a to z) nahitaji zipige randomly ila hio option haipo. What can i do? TV ni ya Samsung ya kawaida sio smart.
 
Kama tv haina hiyo sehemu y kuset basi sijui nitakusaidia vipi. Maana FlashDisk na microsdisc zimewekewa Alogarithim ya FIFO, Firt In First Out. Kwamba kitakchakua cha kwanza kuingia ndio kiwe cha kwanza kutoka unless Multimedia player yako iwe na option ya kuset Shuffle/random
 
Aaanh nimekusoma kwa hiyo hamna kisoftware cha kizushi cha kuweka kwenye flash ili ziwe zinaplay randomly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…