Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,705
- 5,126
Hatujifunzi tunachokipenda tunajifunza ili kupata fursa mambo ya passion ni miaka ya nyuma hukojifunze unachopenda wewe mwenyewe, na moyo wako.
Nasomea shahada ya maendeleo ya jamii.Chuo unaosomea nini
kama ni hivyo basi, umeme wa magari ndio rahisi kutoboa kimaisha kwa sasa.Hatujifunzi tunachokipenda tunajifunza ili kupata fursa mambo ya passion ni miaka ya nyuma huko
Tafuta tu connection ndilo jambo la msingiMimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha.
Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri.
Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma.
1.Fokolitf operator
2.ufundi wa kuchomelea(welding)
3.Umeme wa magari.
Ipi nzuri kati ya hizo mipango yangu nikimaliza chuo niende duniani huko kutafuta maisha.
Karibuni sana matusi ruksa😐
Umemaliza kila kituTafuta tu connection ndilo jambo la msingi
Kasome plumbing au refregerationMimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha.
Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri.
Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma.
1.Fokolitf operator
2.ufundi wa kuchomelea(welding)
3.Umeme wa magari.
Ipi nzuri kati ya hizo mipango yangu nikimaliza chuo niende duniani huko kutafuta maisha.
Karibuni sana matusi ruksa😐
Sitaki kuwa chawa, connection nishatafuta sana nimekosa Nina amini Katika uwezo wanguUmemaliza kila kitu
Ni sawa ila ukiwa na connection hata ukisoma ile kozi ya mabrazamen na masister du inaitwa PR bado utakula shavu.Sitaki kuwa chawa, connection nishatafuta sana nimekosa Nina amini Katika uwezo wangu
Wazo zuri sana. Kama aliivyo sema anataka kwenda 'duniani ' kama ana maana ya ulaya asomee hiyo plumbing. Kama UK plumber kutengeneza £ 500 ni kitu cha kawaida Sana per day. Ni fani ambayo haina watu wengi wanao I fanya. Ila Ukiendea huko lazima uanze kuwa saidia fundi kwani kuna specifications tofauti na huku pamoja na mambo ya safety hasa mabomba ya gas majumbani.Kasome plumbing haitakuacha mtupu
Ushauri wa Kujikita kwa Fani za UfundiMimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha.
Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri.
Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma.
1.Fokolitf operator
2.ufundi wa kuchomelea(welding)
3.Umeme wa magari.
Ipi nzuri kati ya hizo mipango yangu nikimaliza chuo niende duniani huko kutafuta maisha.
Karibuni sana matusi ruksa😐
Kabisa maana hii utasikia fundi coupling imepasuka...ukienda kute geneza 10k mfukoni. Mara maji hayapande juu ya tenkKasome plumbing haitakuacha mtupu