The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,527 Reaction score 15,031 Aug 16, 2017 #1 Nina miaka sita sasa tangu ni balehe nakushuhudia chunusi kwa mara ya kwanza kwenye uso wangu lakini chunusi hazina dalili ya kutoka nitumie dawa gani au sabuni gani msaada tafathali Sent using Jamii Forums mobile app
Nina miaka sita sasa tangu ni balehe nakushuhudia chunusi kwa mara ya kwanza kwenye uso wangu lakini chunusi hazina dalili ya kutoka nitumie dawa gani au sabuni gani msaada tafathali Sent using Jamii Forums mobile app
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,527 Reaction score 15,031 Aug 16, 2017 Thread starter #2 Rohombaya said: Dah...piga gem dogo angalau mara 1 kwa wiki.....kifuko kimejaa sana hicho🙂 Click to expand... Mhhhh kweli ww roho mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
Rohombaya said: Dah...piga gem dogo angalau mara 1 kwa wiki.....kifuko kimejaa sana hicho🙂 Click to expand... Mhhhh kweli ww roho mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,791 Reaction score 3,079 Aug 17, 2017 #3 Kunywa maji mengi ndugu. Philips X2560
Veronica7598 JF-Expert Member Joined Jan 2, 2017 Posts 361 Reaction score 409 Aug 17, 2017 #4 Tumia Gentrisone cream ni tube lakin ipo vzr sna imenisaidia sna ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Gentrisone cream ni tube lakin ipo vzr sna imenisaidia sna ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,527 Reaction score 15,031 Aug 18, 2017 Thread starter #5 Veronica7598 said: Tumia Gentrisone cream ni tube lakin ipo vzr sna imenisaidia sna ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nashukuru ngoja ni jaribu Sent using Jamii Forums mobile app
Veronica7598 said: Tumia Gentrisone cream ni tube lakin ipo vzr sna imenisaidia sna ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nashukuru ngoja ni jaribu Sent using Jamii Forums mobile app
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,527 Reaction score 15,031 Aug 18, 2017 Thread starter #6 GoPPiii. said: Kunywa maji mengi ndugu. Philips X2560 Click to expand... Mhhhh maji tena??? Sent using Jamii Forums mobile app
GoPPiii. said: Kunywa maji mengi ndugu. Philips X2560 Click to expand... Mhhhh maji tena??? Sent using Jamii Forums mobile app