Hujaweka wazi ndugu kuwa unatafuta Scholarship ya aina gani.. Mfano Undergraduate,Masters au PhD,pia hujatufahamisha wewe upo level gani kwa sasa na pia hiyo scholarship ni ya nchini au nje ya nchi.. Nadhani ukielezea vizuri utapata msaada kwa haraka