steve_shemej JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,194 Reaction score 1,636 Oct 31, 2022 #1 Ndugu zanguni Kama kunamtu humu anakonektioni kwenye kampuni yoyote iliyopo kwenye mgodi wa makaa ya mawe ruvuma anisaidie Mimi ni welder lakini sijui pakuanzia nahitaji msaada nataka nikafukuzie ajira
Ndugu zanguni Kama kunamtu humu anakonektioni kwenye kampuni yoyote iliyopo kwenye mgodi wa makaa ya mawe ruvuma anisaidie Mimi ni welder lakini sijui pakuanzia nahitaji msaada nataka nikafukuzie ajira