Msaaada juu ya unlock iphone 4s

hero7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
220
Reaction score
70
Hbr viongozi naomba msaada jinsi ya kuunlock iphone 4s ambayo ikolocked. Na mtanda ila si wa apa tz!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nchi gani kama haujui Tuma imei no take piga *#06# kupata imei au igeuze nyuma
 
Akishajua imei what next na hizo gpp anapata wapi?

Jamaa wamempa pa kuanzia, kama hajalizika yeye ndo mwenye wajibu wa kuwauliza au kuomba afafanuliwe zaidi, kumbuka comment yangu ililenga kumsahihisha jamaa mwenye comment #3 ili asimkatishe tamaa aliyeomba msaada, ningeweza kumsaidia kama ningekuwa na ujuzi zaidi ila sina na ninachokijua mimi ni kuwa sim lock kwenye iphone inawezekana kutolewa
 
Kama unajua imelockiwa na mtandao gani na una visa card au master card unaweza kununua unlock pin online tu huwa ni cheap sijui dola mbili au tatu
 
Msaidie kama waweza

Mkuu iphone carrier lock inatolewa unalipia wanaifungua una iactivate kwa itune kitu ambacho halitolewi ni icloud.
Kama akiona malipo ni makubwa anaweza nunu gevey sim (gpp) nenda kariakoo utapata inauzwa 30000 na set up yake watakutoa kama 20000.
Simu ambayo ina ios 8.3 ndio haikubari gpp maana cyndia hawajatoa namna ya kujail break ios 8.3 hivyo gpp itafanya kaz kwenye kupga na kupokea pasipo kutuma sms wala internet.
Nina imani iphone yako ina ios below hiyo 8.3 maana 4s ina support partially ios 8 sio full.
Note: ukitumia gpp simu haito support ussd so huduma za mpesa tigo pesa yani huduma zote za nyota reli huwezi zitumia.
 
Hbr viongozi naomba msaada jinsi ya kuunlock iphone 4s ambayo ikolocked. Na mtanda ila si wa apa tz!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums


NENDA KWA MAFUNDI WAZURI WA simu upande wa SOFTWARE WATAKUSAIDIA,:typing:
 

el magnifico chunguza hayo maneno ya rangi nyekundu...iphone 4s inasupport iOS 8.3 PARTIALLY??? KWELIIIII......mkuu unatudanganya
 
el magnifico chunguza hayo maneno ya rangi nyekundu...iphone 4s inasupport iOS 8.3 PARTIALLY??? KWELIIIII......mkuu unatudanganya

iOS Support & Software Differences

Both the iPhone 4 and iPhone 4S are capable of running iOS 5, iOS 6, and iOS 7, but specific features supported by each operating system are different on each device.

The iPhone 4 fully supports iOS 5, but only partially supports iOS 6 and iOS 7. The iPhone 4S, on the other hand, fully supports iOS 5 and iOS 6, but only partially supports iOS 7 and iOS 8. The iPhone 4 does not support iOS 8 at all.

Jisomee zaidi hapa na unaweza ku google siongelei graphic interfaces za ios naongelea mambo ya ndani ambayo iser huyaoni
www.everymac.com/systems/apple/iphone/iphone-faq/differences-between-iphone-4s-iphone-4.html
Soma na hapa
www.everymac.com/systems/apple/ipho...nces-between-iphone-5-iphone-4s-iphone-4.html

Teremka mpaka sehemu ya os pia waweza tembelea mtandao wa cyndi na pangu kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…