Msaaada Application Nzuri ya Ku hide SMS Calls Photos kwa Android .

Mie nataka app ambayo meseji ya siri ikiingia itoe sauti lakini ipitilize kufichwa na isifunguliwe mpaka kwa password. Nimejaribu HANDCENT NEXT SMS lakini nayo shida yake ni kwamba baadhi ya sms hazifiki kwangu. Mtu ananitext, kwake inasoma delivered lakini kwangu haikufika na haifiki kabisa.
 
UKIMWI unaua acha
 
Kelo zote za nini hizi..
Nyie wote wachepukaji tu hamna lolote
 
mood messenger
 
Kua mwaminifu tu inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…