Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Ndo hyo attachment mkuu or???Try vault iko playstore.. Bt ukipata premium version ni nzuri zaidi....
I check hiyo premium
Vault-Hide-SMS-Pics-Videos-6.2.22.22_ApkHouse.com.apk
Meet Google Drive – One place for all your files
Mkuu playstore iko bt sio premium version....Ndo hyo attachment mkuu or???
Mkuuuu ku download inakubali but naona file halipo ktk format ya kufungilika kwa simu??Ukifungua utaona hivi.. Jus download.. Then install
Mimi nina app nilitengeneza mwenyewe inaitwa "image cloack" sikuitupia playstore lakini ukihitaji naweza kukurushia, unachofanya ni kuipa picha password, yenyewe inatumia ile password ku-encrypt picha, ina-shuffle pixels kulingana na password yako kwa hiyo picha inakua ka uchafu, ili kuirudisha picha into original inabidi upatie password, ukikosea password inaleta uchafu tu. Mfano wa screenshot angalia picha original alafu angalia ukiipa password inavyofanywa hapo chini,
Unlike applications nyingine, ya kwangu unaweza hata ukamtumia mtu picha hii ambayo imefichwa, kama ana app hii ukimpa password basi ataweza kuiunlock, alafu software zinazoficha ukweli sio kwamba zinaficha, zinaweka kwenye hidden folder tu na kubadilisha extension lakini ukisema utumie computer unaweza kuzipata, hii haifanyi hivyo, hii picha inakuwepo sema tu inaonekana ka uchafu hadi uwe na software yangu kuiunlock.
View attachment 328019
View attachment 328018
app yako inaweza kufanya backup? mfano nikiunstall application then nikainstall kwa baadae.. itarudisha pics zilizokuwepo? vip kuhusu video na sms inaficha?
SawaTry vault iko playstore.. Bt ukipata premium version ni nzuri zaidi....
I check hiyo premium
Vault-Hide-SMS-Pics-Videos-6.2.22.22_ApkHouse.com.apk
Meet Google Drive – One place for all your files
Vault naikubali sanaVault is the best
Install launcher inaitwa MINI LAUNCHER. Haipo play store, igoogle tu. Unaweza kuhide hata app zote ukitaka. Ni bomba sana.MFANO MIMI NATAKA KUFICHA ICON YA APPLICATION KTK ANDROID JE NATUMIA APP GAAN??? YAANI MFANO SITAKI ICON YA FB IONEKANE NAFANYAJE??? AU NATUMIA APP GAAN??