habari wanaJF, nina Tekno S1 yangu kutoka Tigo nilipeleka kwa fundi aiflash ili itumie mitandao yote. baada ya kuflash matokeo yake ni kwamba imegoma kusoma laini zote. Na kila nikijaribu kucheki IMEI yake *#06# inaleta blank IMEI.
Naomba msaada please namna ya kusolve tatizo hilo.