Msaa wataalamu juu ya laptop hii

Msaa wataalamu juu ya laptop hii

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,550
Reaction score
1,852
kuna laptops zinauzwa kariakoo kwenye duka fulani la wasomali, ni ya HP processer yake ni 2.8ghz, ram ni 2gb, hard disk ni 250gb na ni duo core

wanadai ukaaji wa chaji ni wa masaa 2 na warranty yao ni 2 weeks tu kwa bei ya 330000 tshs

msaada wenu kwangu
1. kama kuna mtu yotote mwenye uzoefu wa kununu laptops kwenye haya maduka ya kariakoo hasahasa ya wasomali sio vibaya akashare nami uzoefu wake
2. kitaalam je mashine ya specs hizo inalingana na price, na huo ukaaji wa chaji ni standard nk nk

shukrani sana
 
Ongeza vijipesa utafute mpya tu walau, used hawawezi kukupa waranty ya muda mrefu kwasababu hata wao ni kama ww, nao wamenunua used means lolote laweza tokea. Tatizo vifaa vya electronics havinaga staa leo kizima kesho hakiwaki.
 
shukrani kiongozi
 
Mimi nimeshanunua mashine katika maduka yao ikiwa na 3GB ya RAM, 320GB ya Hard Disk na 2.3 Processor. Laptop nilinunua mwaka jana na haina tatizo lolote lile mpaka sasa hivi, nakumbuka hawakunipa Warranty kubwa. Niliininua kwa 530,000 mwaka jana. Ila kwa hiyo bei yako Mkuu embu mtafute mtu mwenye ujuzi uende nae akaiangalie, Laptop zenye Processor kubwa huwa bei Mkuu.
 
kwa ushauri zaid bora ujikaze ununue laptop mpya maana kuna za laki 490000 mpya na unapata warrant ya mwaka mzima hard disk320 ram2gb procecor cjafuatilia vzur maana mshikaji kanunua hzo used baada ya week 3 display ikaea imekufa ikamgharimu tena kutafuta fundi mwisho wasiku cost ikawa mlemle kama aliye nunua mpya ni hayo tu
 
kwa bei hiyo na specs hizo si mbaya sana, nenda dukani na mtu au fundi anayevifahamu vitu hivyo akikagua atajuwa tu huo ni mzigo wa kuchukuwa au la.
nitajaribu kufanya hivyo
Mimi nimeshanunua mashine katika maduka yao ikiwa na 3GB ya RAM, 320GB ya Hard Disk na 2.3 Processor. Laptop nilinunua mwaka jana na haina tatizo lolote lile mpaka sasa hivi, nakumbuka hawakunipa Warranty kubwa. Niliininua kwa 530,000 mwaka jana. Ila kwa hiyo bei yako Mkuu embu mtafute mtu mwenye ujuzi uende nae akaiangalie, Laptop zenye Processor kubwa huwa bei Mkuu.
ahsante pia kiongozi
kwa ushauri zaid bora ujikaze ununue laptop mpya maana kuna za laki 490000 mpya na unapata warrant ya mwaka mzima hard disk320 ram2gb procecor cjafuatilia vzur maana mshikaji kanunua hzo used baada ya week 3 display ikaea imekufa ikamgharimu tena kutafuta fundi mwisho wasiku cost ikawa mlemle kama aliye nunua mpya ni hayo tu
nitazingatia ushauri wako pia, ahsante sana
 
Me nilinunua Pc K/ koo 360,000 nzuri sn. Dell: Hdd 250, Processor 2.9 duo core, Ram 3 ghz ina webcam. mwaka wa Pili sasa na ipo poa tu. Unaweza ukanunua mpya halafu bado ikabuma vilevile. Me nakushauri uende na ucheki vitu vya msingi vingine kama sauti, Cd rom, drivers though ni rahisi kuziingiza. kama viko poa ichukue TU
 
shukrani sana kiongozi, ubarikiwe
 
Back
Top Bottom