Msaaɗa

Kombi zingine kwa Bongo ni hasara tu
 
Sasa nifiche nini acheni uchawii....saivi amna kufichana unafiki uo....narudia Tena comb zingine ni hasara tu. sasa HGK kwel apo si ana jiandaa direct kuwa mwalimu na vi course vingne vya ajabu ajabu ...
We kweli Mr Devil yaani hamna lingine la kumuongeza ndo hilo tu??
Vijana someni science
 
Acha ujnga kila kombi inaumuhimu wake ndymaaana zliwekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…