vunjo JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,323 Reaction score 2,609 Nov 6, 2022 #21 Someni hapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Nov 6, 2022 #22 Ngoja awanyoshe kidogo...
vunjo JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,323 Reaction score 2,609 Nov 6, 2022 #23 Hizo drone zinapigwa chini daily hazisikiki tena umeme maji vipo kyiv kama kawaida
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 20,552 Reaction score 14,803 Nov 8, 2022 #24 maganjwa said: Mwanzilishi ni urusi Click to expand... KAMIKAZE ni jina la Kijapan na kwenye WWII neno KAMIKAZE lilikuwa maarufu baada ya Askari wa Kijapan (KAMIKAZE) kujilipua The Pearl Harbour kitendo kilichoifanya Marekani kuingia vitani rasmi.
maganjwa said: Mwanzilishi ni urusi Click to expand... KAMIKAZE ni jina la Kijapan na kwenye WWII neno KAMIKAZE lilikuwa maarufu baada ya Askari wa Kijapan (KAMIKAZE) kujilipua The Pearl Harbour kitendo kilichoifanya Marekani kuingia vitani rasmi.