Mrs. Kafulila kuitikisa Iramba


Kwan na ww unataka kuolewa?sasa wivu wa nn kwa Josephine?mbona wanaume tupo wengi humu kama vipi ni PM tu Nikuweke sawa
 

Wamechanganyikiwa hawajui hata nini wanachoandika. Kwa ufupi wanaweweseka tu!
 
masikini kafulila mbona huku kwenye jimbo lake tumemsahau hata mkutano anashindwa kuitisha anakimbilia majimbo ya wengine kwa nini huo ufusadi asje kutueleza sisi toka jimboni kwake?
nakumbuka aliwai itisha mkutano pale nguruka akazomea kabisa nilisikia aibu nikaenda kukaa kwenye gari nikimsubiri mkutano aishe tuondoke
 

Soma uzi vizuri,anaezungumziwa ni mke wa kafulila na sio kafulila mwenyewe,tatizo lenu ccm sasa hivi mnaweweseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…