Mrisho nyuma!


hivi mkuu waona hili ni kosa sana??
umewah kujiuliza je ingekuwa ni wee mwanaume umefanya hayo?
Kimbweka niliwah kumpa hubby wangu nafasi ya kubadilika alipokiri na kutubu kosa lake na mpaka leo ni good hubby ever.............tena najisifia kuwa nae period.
nilimsamehe na wala sijutii hata siku moja ingawa alileta mwanamke ndani, nikalala chumba cha watoto yeye akalala na mwanamke, na asbh nikawapikia kifungua kinywa, sikuona kama mume wangu ni mkosa bali niliona uongo wa shetani tu. sikuwah kumchukia wala kumwona mbaya maishani mwangu.

alipoona mapenzi yangu kwake ni makubwa, na wala sijawah kukosea kutimiza wajibu wangu kwake na kwa familia alirudi. Alipokiri, na kutubu kwa kumaanisha nilisamehe na tukaendelea na maisha. mpaka leo maisha yetu ni ya furaha na amani na baraka kila iitwapo leo.

kwangu mm maisha ni upendo, na upendo hauhesabu mabaya.
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana ni mpango wa Mungu ili ajutie hiyo dhambi na aiche kabisa ili aje kuwa mwaminifu katika ndoa..
 

Mbona kama huna msimamo???

UKITAKA KUMUUA NYANI USIMWANGALIE USONI
 
narudia tena ushauri wa huku chekecha changanya na za kwako!!!!!wewe je hujawahi msaliti huyo dada kweli kwelikweli hivi wewe ni mtakatifu kweli wakuhukumu namna hiyo aisee!!!kama ulishawahi basi go another step of warning akirudua kosa sasa ndio kosa.
 
Kuna vitu vingine si vyakufuata moyo utaletewa magonjwa ndani, kama kawenza kushawishiwa na marafiki sasa hta kwenye ndoa pia marafiki wapo.
 
Da! kama nakuona jinsi ulivyo. Aisee kwangu mimi ndo ingekuwa basi tena, maana da! yaani Ijumaa, Jumamosi, Jumapili anapika na kupakua. Kaka wasichana wapo wengi tu, samehe mwambie aendelea na maisha yake, wewe endelea na maisha yako.
 

mmmh kuna mmepitia wakati mgumu, mpaka kuletewa mwanamke ndani........!
Mie nina wivu sana na nnaumiaga sana huwa siwezi kusamehe jambo hilo tumetofautina.................!
 

Hahahahhahhhahhaah umenifurahsha
 
mmmh kuna mmepitia wakati mgumu, mpaka kuletewa mwanamke ndani........!
Mie nina wivu sana na nnaumiaga sana huwa siwezi kusamehe jambo hilo tumetofautina.................!
hapo red hakuna asiye umiaga Kimbeka na hakuna usaliti usioumiza ama unaotia tabasamu usoni,

mm huwa nasema daima siwez kumchukia mtu ila naweza kuchukia kosa la mtu, na huwa naamini mwanadamu ambaye ni sawa na yuko at cross roads ni subject to change at any time so hata kama anabadilika still anaweza kubadilika kuwa mwema ama kuwa mmbaya.

ni kiasi cha kuona kosa kwa jicho la tofauti na nimpaka umeweaza kuteganisha mambo haya mawili yaani uweze kutengenisha makosa na mtu mwenyewe ndipo utakapoona urahisi wa kusamehe
 
Last edited by a moderator:
Mzee achana kabisa na ngonjera za baadhi ya wapuuzi wenzie humu janvini, 'eti mpe second chance' for what man?. Piga chini forthwith huyo kenge, asikutishe kujiliza wala nini hapo anazuga tu ukishamsamehe tu jamaa lake hilo litaendele kupiga LOMBO ya hatari na utakuja kujuta ile mbaya.
 
Inaonekana we ni mgeni na watoto wa kike, huyo ni malaya pure....usisikilize kilio wala pressure ya mama yake atakusumbua, ukioa tu umebugi achana naye haraka....wanawake ambao ni wife materials wako wengi.....si huyo
 
Mwambie umemsamehe makosa yake lakini akupe muda utafakari pima na uamue kama utaona vyema kurudiana naye basi mwite aeleze ukweli alikuwa anaenda kwa nani huyo bwana ni nani maana unaweza kukuta anayekumegea ni rafiki yako. Yote yafanye huku ukimshirikisha Mungu
 

hakika MUNGU wetu ni wa kutumainiwa kwa kutuumba tofauti.......hiyo situation kwa upande wangu....kuitatua nikaridhika na moyo ukawa mweupe ni lazima mmoja awe marehemu....kwa siku hiyo au next day.......kwangu mimi HAIWEZEKANI........moyo wangu una kazi mbili tu.....kupenda na kufa.....mengine hayauhusu........
 

hahahahhaha!............................ umesema kweli mamii.

tumeumbwa tofauti sana sana.
 
Na sio mara moja ni kila ijumaa anatoka

 
Mwanaume afanye yote, lakini la kuniletea mwanamke mwenzangu ndani, tena kitandani kwangu, lol! siwezi kuvumilia gfsonwin, nasema I can't, whuuuh!

 
Last edited by a moderator:

Kama kimshiko uko poa kiivyo na bado akaendelea kulambwa nje, then ama humfikishi, au hakufeel na huko kulia na kuchanganyikiwa ni kwa sababu tu anaona kuwa anapoteza "kipato"...

Any way, msamehe kiume... wote wako hivyo siku hizi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…