Mrisho Ngasa hachomi tena nyumba.

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Baada ya kuahidi atachoma nyumba yake akitoka bila goli, Mrisho Ngasa amesalimisha nyumba yake kwa kupachika goli kama alivyoahidi!
 
awapige matano kabisa ndo wakome siku nyingine kudai fedha za mikopo
 
hahaha Ngasa anawafahamu vizuri Simba ndo maana akatoa ahadi kama hiyo
 
Ona yanga yacheza leo.......
Hao simba wakanyaga moto....
 
nafahamu ch kwanza kafunga Ngasa,cha pili na cha tatu je?msaada jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…