Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Alifungua mdomo wake wakati hela zimeporwa?Namtetea Gambo
Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana c cmkwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Ungepinga hoja yake kwa hoja ingeku address kua una akili!Mleta mada ni mjinga wa tra
Veeeery true.Namtetea Gambo
Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana c cmkwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Namtetea Gambo
Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana c cmkwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Unamteteaje mtu ambae alikuwa kimya kwa kuficha ukweli sababu ya kumuogopa mwendazake? anaousema pale bungeni sasa ni unafiki tu kama walivyo CCM wengine.Veeeery true.
Walikataa kutoa magari na wanafunzi.
Magofool akafunga akaunti zao bila kujali watoto watakaoteseka.
Kiukwel magufuli hakuwa binadamu wa kawaida roho yakeSasa angesemaje mbele ya kayafa akiwa hai, kayafa hakutaka kusikia kabisa haya, by the way kayafa ana mkono asilimia nyingi ile ishu ilivyotokea , na maagizo yalikua yake kayafa, fikiria wewe ndio gambo, ungefanyaje?
Namtetea Gambo
Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana c cmkwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Gambo ni kielelezo cha unafiki wa UVCCMWakati St. Judy inapitia matatizo juu ya madeni Hadi kufikia wanafunzi kugoma na wafanyakazi kurejeshwa nyumbani Mrisho Gambo hakusema lolote Wala akuwatetea kwa chochote. Leo hii baada ya hali kutulia anaibuka Bungeni nakuzungumza huku akijua kabisa muda wa machungu umepita na Sasa shule ile imesimama na inasonga mbele.
Tunaporuhusu Taifa liwe na watu wanoangalia zaidi familia zao nakuacha familia za wengine tunaharibu Taifa. Kama aliyoyasema bungeni yalitoka moyoni alipaswa kukemea wakati watoto wanataabika. Mgogoro umeanza akiwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, hakuna siku alisimama kunyanyua mdomo kuwatetea, alisimama na watesi ili apate kuishi.
Tusiwe wepesi kusahau, tuwapinge watu wasio na misimamo. Tuwapinge watu walioamua kuishi kwakufundishwa Cha kusema, tuwapinge watu wanaogeuza matatizo yetu kuwa mtaji wa kisiasa. Tumkatae Mrisho Gambo tukimwelekeza kusimama nasisi kwenye shida na raha bila kujali atapoteza Nini.
Inawezekana alifanya jambo ila kwa utulivu na uangalifu wa hali ya juu kama anatembea kwenye eneo lenye maji na vipande vya chupa akiwa peku.Alifungua mdomo wake wakati hela zimeporwa?
Kuja kulisemea kipindi hiki ni mazungumzo baada ya habari.
Ningesimama upande wenye haki. Ndio maana siwezi kuwa mwana siasa kamwe.Sasa angesemaje mbele ya kayafa akiwa hai, kayafa hakutaka kusikia kabisa haya, by the way kayafa ana mkono asilimia nyingi ile ishu ilivyotokea , na maagizo yalikua yake kayafa, fikiria wewe ndio gambo, ungefanyaje?
Ww Una ujasiri wa kusimama awamu ya tano hadharani na kusema wewe TRA na aliyekutuma ni wezi, mnawatapeli st Jude.Baada ya uchaguzi alikuwa mbunge, mbona hakuongea hilo mpaka dhalimu kaelekea motoni ndio anajifanya kuongea?
Sasa Gambo si ndo mwanasisiemu aliyekuwa anafanya hizo kampeni kama anavyosema mtoa mada kwamba huyo Gambo alikuwa upande wa hao watesi?Namtetea Gambo
Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana c cmkwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Wanaoweza ndo hao wanajua waseme nn wakati gani, usilaumu tu wakati kumbe hata wewe huwezi.Ndio maana siwezi kuwa mwana siasa kamwe.
Kama alikosa huo ujasiri wakati huo, kwanini anatemea watu mate kwenye hilo bunge kibogoyo sasa wakati tatizo limeisha?Ww Una ujasiri wa kusimama awamu ya tano hadharani na kusema wewe TRA na aliyekutuma ni wezi, mnawatapeli st Jude.