Mkuu
GLORY TO GOD, pole,
Nashindwa kuelewa kama ni tatizo ulilo nalo KWELI, maana mara kadhaa
umekuwa ukianzisha uzi/nyuzi mbalimbali kutaka ushauri na pia kutoa
ushauri, na sidhani kama lingekuwa tatizo halisi(real) usingelizungumzia
kabla!
Anyway, ni dawa gani za hospitali ulizitumia, na kwanini walikupa dawa
hizo?Je, uliwaeleza tatizo lilivyo kama ulivyoeleza hapa? kwa maana,
kama mkuu
MziziMkavu alivyosema ni vyema kwenda
hospitali kuchunguzwa yaani kujua aina hasa ya tatizo kwa
vipimo,..lakini kama U mbali na hospitali hebu toa maelezo zaidi ya
tatizo lako.