Mrembo

Utauwa watu na mwaka ndio bado mchanga.Nimekwambia nikuombe kitu?
 
Reactions: BAK
Mmmmmh haya ngoja watajwa waje, huyu Utafiti kila kona yupo
 
lol! Karibu sana ila niliwahi kukuuliza swali... Ulifanya nini mpaka PM yako ikafungiwa? Ukanipotezea lol!!! Omba tu.

Utauwa watu na mwaka ndio bado mchanga.Nimekwambia nikuombe kitu?
 
Ebana eee BAK huyu anafaa kunisahaulisha kipigo cha leo the gunners
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
lol! Karibu sana ila niliwahi kukuuliza swali... Ulifanya nini mpaka PM yako ikafungiwa? Ukanipotezea lol!!! Omba tu.


Basi ngoja tena nikuombee kwa hii thread ile kule naachana nayo.Kuna music video naziona through youtube ila nashindwa kuzidownload ziwe kwa simu yangu(usicheke ni mashikolo mageni kwangu).Kama hautojali naomba unisaidie niweze kuzipata

Kwako wewe PM iko wazi.....
 
Reactions: BAK
Khe khe kheeeeee Chezeya marafiki wengine weye!!! Shemeji shemeji huku hawakawii kuzima taa πŸ™‚πŸ™‚ na kujirusha kwa raha zao kisha kujikausha kama siyo wao na adabu tele lol!!!

Hahahaha wivu hata kwa rafiki yako jamani???
 
Khe khe kheeeeee Chezeya marafiki wengine weye!!! Shemeji shemeji huku hawakawii kuzima taa πŸ™‚πŸ™‚ na kujirusha kwa raha zao kisha kujikausha kama siyo wao na adabu tele lol!!!

Hahaha kweli shemeji wengine ni majanga tupu.......
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…