Hongera sana kwao ingawa sijwajui ndio kwanza nimewasikia leo,ila Fred vunja bei nimemsikia sana kwenye matangazo ya maduka yake,chuchunge MABETO namjua.Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.
Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake
Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew View attachment 1647092
Hamna ndoa hapo,jamaa anasafisha rungu akichoka anapiga chini.Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.
Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake
Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew View attachment 1647092
Hapo sasaYaani anamvisha mwenzie pete ya uchumba wakati yeue anamiliki ya ndoa?? Au ni swagz tu
Ni Emanuel mbasha na wema sepetuHao watu ndo kina Nani mjukuu wangu
Sasa mbona mkono mwingine (nahisi wa kiume) una Pete ya ndoa?
Itakuwa Pete urembo km za kina mondiYaani anamvisha mwenzie pete ya uchumba wakati yeue anamiliki ya ndoa?? Au ni swagz tu
Don Alex!!! Hivi yule mchaga muuza solar power kafia wapi maana media zote zilikuwa zinampamba kumbe kibaka
Nimekuelewa mjukuu anguNi Emanuel mbasha na wema sepetu