Mrembo Tahiya, Avishwa pete na Danga la hamisa mobetto ...

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,575
2,000
Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.

Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake

Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew
IMG_9167.jpg
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
37,461
2,000
Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.

Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake

Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew View attachment 1647092
Hongera sana kwao ingawa sijwajui ndio kwanza nimewasikia leo,ila Fred vunja bei nimemsikia sana kwenye matangazo ya maduka yake,chuchunge MABETO namjua.
 
Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,088
2,000
Ndio maana siwajui wanaoongelewaaa kumbe nimekosea jukwaa!

Jf politics
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
6,710
2,000
Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.

Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake

Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew View attachment 1647092
Hamna ndoa hapo,jamaa anasafisha rungu akichoka anapiga chini.
 
Yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
22,224
2,000
Alafu binamu fanya utuletee ubuyu wa posh Jamani..nasikia kajifungua sijui ni kweli au tetesi tu..🙄
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,464
2,000
Yaani anamvisha mwenzie pete ya uchumba wakati yeue anamiliki ya ndoa?? Au ni swagz tu
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
6,994
2,000
Don Alex!!! Hivi yule mchaga muuza solar power kafia wapi maana media zote zilikuwa zinampamba kumbe kibaka
 
instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
1,084
2,000
Don Alex!!! Hivi yule mchaga muuza solar power kafia wapi maana media zote zilikuwa zinampamba kumbe kibaka

Huyu babaake alikimbilia south afrika mwizi mkubwa alex massawe sijui zile hoteli zao ndo junior ananyandulia hawa ma slay kwini wa bongo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom