warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,378
Chuchunge nae kuroga kote huko kila siku wanaume wanamkimbia. Finally ile vuta nkuvute ya nani atafanikiwa kumteka The Don Alex hatimaye imefikia ukingoni na mshindi kapatikana, mrembo Tahiya John , ambaye amefanikiwa kuvalishwa pEte na Mpenz wake huyo ambaye hamisa alimnyakua But hawakudumu.
Shoga angu chuchunge kipaji chake ni kudanga tu , sasa hiv yuko busy anadanga Nigeria , akirud ANaenda kumdangia Fred vunja bei, mambo ya pete Na ndoa Naona si fungu lake
Ila Alex na Tahiya wamependezeana mno, Ndo maana bidada siku hiz anadamshi, Trip za Dubai kwa wingi, full ku shine , shoga achelewi kwenda kuvuruga tena mxieew