Mrembo Msomi anahitaji Msaada wako

Nchi gani hiyo chemical engineers wanakosa kazi?
 
Nchi gani hiyo chemical engineers wanakosa kazi?
Hata hapa Tz wapo wengi tu! Nchi isiyokuwa na viwanda kama Tanganyika, unategemea wafanye kazi wapi?!
 
Daah. ..!!
Username yako ni jipu tosha.
Naitumia tangu nilipo jiunga na JF mwaka 2011,imenipatia marafiki wengi kuliko maadui,imenipatia LIKES na TROPHY za kutosha kushinda binti mmoja anayetumia username ya patrickcharles.
 
Mzee jk angekuwa rais nadhan kwa wema wake angemsaidia huyu kuchanganya madawa kwenye viwanda kama alivyo msaidie yule wa uwekezaji
 
Naitumia tangu nilipo jiunga na JF mwaka 2011,imenipatia marafiki wengi kuliko maadui,imenipatia LIKES na TROPHY za kutosha kuliko binti mmoja anayetumia username ya patrickcharles.
Okay, nimekuelewa Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…