Ni kweli mi ni mtu wa pwani, ila atakayekuwa serious ni kunipm ndo ntamueleza yote uliyouliza hapo.Samahani kama ntakuwa nimekukwazaMbona hujasema wewe una umri gani? Elimu yako kiwango gani? umejiajiri au kuajiriwa? uko vipi kimo chako na rangi yako? ila sharti la kwanza gumu kumeza, utakuwa unatoka znz wewe, lakin waznz siku hizi nao huwaachia wake zao wafanye kazi au wewe Mwalabu (Mwarabu)
haya subiri wari watakuja muda si mrefu.Ni kweli mi ni mtu wa pwani, ila atakayekuwa serious ni kunipm ndo ntamueleza yote uliyouliza hapo.Samahani kama ntakuwa nimekukwaza
Asantehaya subiri wari watakuja muda si mrefu.
Nakuona, hutaki kuolewa weye???Mmmh haya napita!
hapana, nashukuruutakuwa unanilipa mshahara na pesa ya matumizi utanipa ? mkuu kama utakubali hilo nije pm japo mimi ni wa kanda ya kaskazini
duh sawa mkuu watakuja... Mungu akusaidie upate haja ya moyo wakohapana, nashukuru
Fursa hiyo mamaa changamkiaaa!😛utakuwa unanilipa mshahara na pesa ya matumizi utanipa ? mkuu kama utakubali hilo nije pm japo mimi ni wa kanda ya kaskazini
kasema hapana ngoja niondoke kimya kimyaFursa hiyo mamaa changamkiaaa!😛
utakuwa unanilipa mshahara na pesa ya matumizi utanipa ? mkuu kama utakubali hilo nije pm japo mimi ni wa kanda ya kaskazini
mchujo wa kwanza huo...ila miss chagga usikate tamaa kutuma maombihapana, nashukuru
wapi kum-pm?Mmmh haya napita!
Wapenda pesa wewe mtoto! Hahahaaa.....utakuwa unanilipa mshahara na pesa ya matumizi utanipa ? mkuu kama utakubali hilo nije pm japo mimi ni wa kanda ya kaskazini
mamy nlisahau kukwambia kuwa anamtaka mpwani mwenzie sie wa bara tupite hivi!kasema hapana ngoja niondoke kimya kimya
Mie napita njia maana nanenepa kila siku nae anataka mwembamba kiasiwapi kum-pm?
kagomamchujo wa kwanza huo...ila miss chagga usikate tamaa kutuma maombi
sijakuelewa mkuu.Mrembo msichanani lazima msichana?
mkuu pesa tamuWapenda pesa wewe mtoto! Hahahaaa.....