Hana lolote huyu babu, tuliongea nae kuhusu kupeleka umeme Mamba day sec na tukamwambia tumo taysri kuchgiaa kiasi ili na wazszi wetu wapate umeme huko utamspo pita, kaahidi angefuatilia tanesco na wizarani. Hatuoni kitu zaidi ya kusinzia bungie na kucheza ngoma za ccm. Amize muda wake atuachie jimbo.