Habari zenu wana MMU wote
Nimeona leo nilete mrejesho wa kile nilichokisoma humu jukwaani na nikaamua kufanyia kazi.
Katika kutembelea jukwaa hili nilisoma mada moja juu ya wanaume kutovaa nguo
zinazobana ikiwa ni pamajo na zile za ndani kwani zinapunguza utendaji kazi sehemu za nyumbani(maswala ya ndoa),
Siku moja nikiwa off nikaamua nivae bukuta yangu tupu bila pichu siku nzima ili nione
uzuri wa jambo hilo.Kweli mwanzo ulikuwa mzuri,sehemu zangu zilijinyoosha barabara na upepo ukawa unapita
ipasavyo.Mambo yaliharibika pale nilipokwenda haja ndogo nilijisaidia vizuri,
sasa wakati wa kufunga zipu,Eee Bwana wee zipu ikakamata ngozi ya jamaa aliyesababisha nifanye mazoezi
nusura niite watu kwa sauti ya yale maumivu. Lakini baadaye nikajikaza kiiume nikaitoa.
Sasa nashauri tunapoleta jambo jema ni vizuri tuambatanishe na athari zinazoweza kujitokeza ili
wadau wachukue tahadhari wanapotekeleza tulichokishauri.Binafsi nimeishalijua hilo kila ninapofanya aka kamchezo nakuwa makini.
Kama kuna mhanga mwingine si lazima awe wa hili naye atupe uzoefu tuchukue taadhari.Nawasilisha.
bila hofu nahisi utakua hujatairiwa.............pole sana mkuu kakate io "ngozi"Habari zenu wana MMU wote

bila hofu nahisi utakua hujatairiwa.............pole sana mkuu kakate io "ngozi"
Ni kweli mkuu ila ningekuwa kituko mtaani maana sijawahi vaa hata kanzu mara moja sembuse lubega,watu wangedhani nina langu jambo.Safi sanaaaaaa!
Huu mrejesho ingependeza kama ungevaa lubega kabisa ama basi kanzu fluu kama mavazi yetu kabila la Maasai na Wamang'ati.
asante kwa ufafanuzi mkuuNadhani mkuu umedhani wote humu tuna bamia,siyo wengine tuna kitu ndefu kilichobanwa hapa ni ngozi ya pembeni sio kichwani,karibu tuendelee kujadili
Hapana kaka kuna hizi bukta zina mifuko ningi mingi,kwa kuwa ni nzito niliona zinaweza kusitiri mambokwa hiyo wewe ulivaa bukta ya jeans?!!!